Matokeo ya bahatinasibu

Kama unataka kutazama matokeo ya droo ya michezo ya bahatinasibu zaidi ya moja katika ukurasa mmoja, basi umekuja sehemu sahihi. Katika ukurasa huu, utakuta michezo ya bahatinasibu bora 14 katika sayari, mara zote zina taarifa za hivi karibuni. Punde tu baada ya droo hizo kukamilika, tunaweka taarifa za namba hizo hapa.

Juu ya huduma hiyo husika, katika viboksi vya matokeo unaweza kuona kitufe cha “Play” kitakachokuwezesha kununua tiketi ya michezo ya bahatinasibu yoyote ile. Ndio, umesikia sahihi – nchi ambayo unaishi sio kigezo tena cha mchezo wa bahatinasibu gani uchague. Badala ya kucheza bahatinasibu iliyopo katika nchi yako (kwa kitita cha pesa ambacho inawezekani sio kikubwa), sasa unaweza kuchagua tu mchezo wa bahatinasibu wenye kitita kikubwa kabisa cha pesa (tizama bango lililopo kulia).

Hili linawezeshwa na kampuni inayoitwa RedFoxLotto. Kupitia mtandao wao, unaweza kuchagua namba za mchezo wa bahatinasibu yoyote ile kwenye sayari, na tiketi nyingi kadri unavyotaka. Unaweza kuchagua pia kucheza kwenye droo nyingi kadri unavyotaka. Kisha kufanya malipo ya mtandaoni, kwa njia mbali mbali (salama). Punde tu baada ya malipo, wanamuagiza mfanyakazi wao anayeishi katika eneo husika. Huyo mtu ananunua tiketi kwa ajili yako, anaiskani na kukutumia kivuli kwa njia ya barua pepe. RedFoxLotto pia wanashughulikia pia ulichoshinda bila malipo yoyote. Huduma hii ni halali kabisa nay a kuaminika, na wateja wao wameshinda Mamilioni na Mamilioni kipindi cha nyuma.